Mimi nikiwa katika moja mapozi hotelini hapo, raha jipe mwenyewe atii.
Da Hawra Shamte mmoja wa wanachama wa Jukwaa la Wahariri akiwa na mmoja wa wahariri.
Khadija Kushoto na Mhariri wa Gazeti la Bingwa Grace Hoka hapa tukipasha kutafuta Majotroo kidogosababu Arusha ni baridi kama mnavyoona kuna kajiko pembeni.
Muimbaji wa Nyota wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mmoja kati ya waasisi wa Kwaya ya Shangilieni ja Jijini Arusha Beatrice Mhone alikuja kutusabahi washirika.
Hapa ilikuwa ni jioni ambapo tukawa tukibadilishana mawazo ya hapa na pale kutoka kulia ni Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi Harieth Makweta,Beatrice na Mkariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda.
Kumbe Teddy anakipaji cha kuimba hapa akiwaburudisha Wahariri katika Hoteli ya Kibo Palace.
Mwenyekiti wa Chama Cha Netiboli nchini (CHANETA),Anna Bayi akiwa katika picha na Teddy Hollo da.
0 Comments