Sehemu ya Kiwanda hicho hapa jinsi chupa zinavyosonga mbele kufuata Kilauri.
Mambo ya jinsi Bia ya Serengeti inavyozalishwa.
Baadhi ya Wahariri wakiwa ndani ya Kiwanda Cha Bia ya Serengeti Mkoani Moshi walipotembelea na kushuhudia uzalishwaji wa kinywaji hicho.
Ziara ikiendelea wengine walikuwa wakichukua picha za kumbukumbu.
Kulia ni Mhariri Martin Malera kutoka Tanzania Daima akiwa na Chongolo wa Redio Uhuru (UHURU FM).
Mhariri kadoo kuliko wote George Njogopa kutoka Clouds Media wakwanza Kulia akifuatiwa na Naibu Mhariri wa Gazeti laTanzania Daima Ansbert Ngurumo (Maswali Magumu)na Wahariri wengine wakisikiliza simulizi za kiwanda anayesimulia hayupo pichani.
Mkurugenzi wa Mahusiano SBL Teddy Hollo Mapunda akisikiliza jambo na Wahariri waliofika Kiwandani hapo.
Katikati ni Mzee Salim kutoka Zanzibar na wa kwanza kulia ni Mhariri wa Gazeti la Mwanahalisi Jabir Idrissa.
Baadhi ya sehemu ya Wahariri wakiwa katika Ziara iliyofanyika katika Kiwwanda Cha Bia Serengeti Mwishoni mwa juma lililopita.Waliong'ara ni Scholastica Mazula kutoka Redio Time FM na Kulwa Karedia kutoka Kampuni ya New Habari Corporation.
Eneo mojawapo la Kiwanda Cha Bia ya Serengeti kilichopo Mkoani Moshi.(Kiwanda Chetu Maji Yetuu).
Katikati ya Maboss, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Absalom Kibanda, Mjumbe wa Jukwaa Eric Anthony.
Kreti hazibebwi na watu siku hizi kuna vitu hivi ambavyo SBL wanawarahisishia wafanyakazi wake.
Mhariri wa Gazeti la Serikali Habari Leo Eric Anthony, huyu binafsi ni mmoja kati ya Waalimu wangu katika fani hii ya Uandishi wa Habari hivyo nina kila sababu ya kujivunia ninapomwona kadhalika na yeye pia kuona mwanafunzi wake akiwa nakomaa Kibingwa katika Fani hii inayofanana na Askari wasiofunga buti.
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA
-
Kamisha wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, ofisi ya Zanzibar,
Khatib M. Mwinchande, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo
mbalimbali o...
13 minutes ago
0 Comments