Social Icons

Monday, June 27, 2011

WADAU TUNARUDI DAR ES SALAAM LEO BAADA YA UZINDUZI WA SERENGETI FIESTA 2011

Kulia ni Faustine Felicine my mwandishi wa gazeti la Nipashe akiwa katika picha ya pamoja na mimi hapa ni katika moja msimu wa dhahabu na shangwe za Tamasha la Serengeti Fiesta 2011 kwenye Hoteli ya Malaika Mwanza.


Mwendeshaji wa Blogu hii , Khadija Lindashebby Nikiwa mtaani Jijini Mwanza 'Rock City' , wadau habari zenyu banaa hazina Majotroo , nitakuwa Dar Es Salaam Mungua akitujaalia Inshaallah tutaonana.
Hapa ni katika mpango mzima wa Afterparty iliyofanyika kwenye Hoteli Malaika ambayo sifa zake siyo za kawaida ukipata muda watembelee ni pazuri kwa kupunguza MASTRESS ya maisha.Kulia ni Kambi Mbwana wa gazeti la Mtanzania akiwa kabana na mimi Khadija.

No comments:

 
 
Blogger Templates