Mwandishi Mwandamizi wa gazeti hili Happiness Katabazi akiwa na mwanae Queen Mwaijande(3) wenye nyuso za furaha katika hafla fupi ya mtoto huyo ya kutimiza miaka mitatu iliyofanyika nyumbani kwao Sinza C, Dar es Salaam. Queen akiwa mkubwa anasema anataka awe Askari Mpelelezi ‘Chatu,Nusanusa’ wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
WANA CCM YAPO YA KUJIFUNZA KWA ABDULRAHMAN KINANA
-
Na Said Mwishehe
NGOJA nikwambie kitu mtu wangu ingawa najua itakuwa unafahamu kwamba Chama
Cha Mapinduzi(CCM) Januari 18 hadi 19 mwaka huu wa 2025 kinafa...
1 hour ago
0 Comments