"Baba wa kambo" awafanyia fujo FFU wa Ngoma Africa Band !!Kama si Ankal Michuzi..kisago kingeendelea !Lile song la "Baba wa kambo" sasa limetua katika kambi mpya yaNgoma Africa band na kufanya zogo la nguvu...wimbo huo wa "Baba waKambo" wenye ujumbe mzito kwa jamii sasa utunzi wake Kamanda Ras Makunja unaweza kusikiliza at http://www.ngoma-africa.com/ ambako baba wa kambo alivamia kambi hiyo ya FFU wa Ughaibuni aka Ngoma Africa band,na kuwafanyia kweli..,pamoja na FFU hao kujihimarisha kiulinzi..kwa kutumia virungu na wanyama wakali lakini "Baba wa kambo" bado anatembeza kichapo..FFU katika kambi yao hiyo pia walisalimia wazee lakini baada ya "Salam Zenu" "Baba wa kambo" kaamua kuwatembezea bakora kiasi cha FFU hao waombe msaada kwa ankal yao Michuzi aende kushudia kisago hiko !Song hilo la " Baba wa Kambo" pia limeanza kupasua anga katika kituo TBC radio mjini Tanga! sikiliza zaidi at http://www.ngoma-africa.com/
WAZIRI MKUU AKAGUA MUENDELEZO WA ZOEZI LA UOKOAJI KARIAKOO *Aagiza Jeshi la
Polisi lihakikishe mmiliki wa jengo lililoporomoka anatafutwa
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua muendelezo wa
zoezi la uokoaji katika jengo lililodondoka eneo la Kariakoo Jijini Dar es
sala...
1 hour ago
0 Comments