WIMBO:Wangu
MSANII:Lady Jaydee ft.Mr.Blue
Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda x2 Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo x2
Verse 1:
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaah aaah
Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua
Na moyo giza nene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua aaah
Rudia Chorus:
Yule fedha, huyu mvuto
Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Huyu mkubwa yule mdogo
Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka kiubua
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka kiubua aaah
Rudia Chorus:
Rap:
Mr.Blue
Nilimpa penzi nikamjali kwa maradhi mavazi Na makazi aah
Kumbe mshenzi hana hadhi bure tu nampandisha ngazi
Nikamuweka wazi kwa paparazi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe sina demu naishi na jambazi mmh
Naziba huku kule pako wazi no!
Sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini no money no honey nimebaini wee
Kwanini naumia kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa paa
Rudia Chorus

0 Comments