Wadau leo asubuhi wakati nikiwa katika usafiri nikija ofisini , nikapata lifti na kukatiza mtaani ambako wakati tukikwepa foleni ndiyo tukaingia katika Mtaa huu Kinondoni Dar es Salaam na kukuta mti ukiwa umeanguka siku ya 3 leo kilichofanyika ni kusogezwa tu ili gari ziweze kupita, hakuna anayejishughulisha kuuondoa serikali za mtaa zikiwa jirani, hapa ukipandisha juu unakutana na Bar moja maarufu ya Katumba.
WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO MKUU WA JIMBO LA BUSEGA
-
*Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi
(CCM) na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim
Majaliwa, ak...
6 hours ago
0 Comments