Jamani kufiwa kugumu pia na penzi la mama haliishi utamu wala hamu, haijalishi wewe una mri mkubwa kiasi gani likikufika au akifikwa mwenzako utashangazwa kumwona jinsi anavyo taharuki.Blogu hii inatoa pole kwa Spika wa Bunge letu la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mama Anne Makinda kwa msiba mkubwa uliomfika wa kumpoteza mama yake mzazi Bibi Tulikae Milia Semunya ambae amezaliwa Mei 1925, Marehemu antarajiwa kuzikwa kesho.
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa
kutembelea Ukumbi...
MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI
-
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John
Nchimbi, ameongoza Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa
kutembelea Ukumbi...
Biashara : NMB Yaleta Nondo za Pesa kwa Watanzania
-
KATIKA kuongeza uelewa wa masuala ya fedha kwa maendeleo na ukuaji kiuchumi
kwa Mtanzania mmoja mmoja na Taifa kwa ujumla, Benki ya NMB imezindua
Progra...
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments