FLAVIANA MATATA FOUNDATION WAZINDULIWA RASMI KATIKA HOTELI YA KILIMANJARO KEMPINSKI USIKU HUU

Mwanamitindo wa Kimataifa na mwenye mafanikio Flaviana Matata akizungumza leo usiku katika risala yake katika uzinduzi rasmi wa mfuko wake.
Uzinduzi huo umefanyika katika hoteli yenye hadhi ya Nyota Tano Kilimanjaro Kempinski Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na watu mbalimbali mashuhuri nchini wakiwemo wabunge na watu wa kada mbalimbaliMwanamitindo Flaviana Matata ambaye hivi sasa anafanya kazi zake nchini Marekani amesedma mfuko huo utakuwa na kazikusaidia watoto wasiokuwa na wazazi yatima pia Taasisi hiyo itafanya kazi na watu mbalimbali nchini ambao wamekuwa wakisaidia jamii yenye matatizo mbalimbali bila kuwasahau watoto wa kike Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa katika picha na Mkurugenzi Mtendaji wa Masoko na Mawasiliano Mwamvita Makamba.

Kutoka kushoto ni Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Bumbili Tanga Januari Makamba , Ruge na FlavianaChristine Mosha wa kwanza kushoto na kulia ni Mwanamitindikana jinao maarufu nchini Fideline Iranga wakiwa na mdau ambaye hakupatikana jina. Flaviana akiwa katika picha ya pamoja na wadau wakuu wa Taasisi hiyo kutoka kushoto ni Fauzia Abdi, Mwamvita Makamba na Ruge Mutahaba.

Post a Comment

0 Comments