Mimi na Ramsey hapa ilikuwa mchana wa leo mara baada ya hafla fupi ya kumuaga iliyoandaliwa na Hoteli ya Paradise City.Nouah ameahidi makubwa katika filamu ambayo ameshirikishwa na Kampuni ya Kanumba The Great, inayokwenda kwa jina la The Devil Kingdon. Hapa akipokea Business Card yangu.
Jamii : Serikali Yaiongezea OSHA Watumishi Kuimarisha Utendaji
-
Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu),
Bi. Mary Maganga akihutubia katika Kikao cha Nne cha Baraza la Tano la
Wafanya...
9 hours ago
0 Comments