
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Jakaya Kikwete akiweka Shada la maua katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar , hayati Abeid Amani Karume aliyefariki Aprili 7 mwaka 1972 (Picha Zote na Freddy Maro wa IKULU).

Hapa Rais Jakaya Kikwete akiomba dua na baadhi ya masheikh na viongozi wa Zanzibar.
0 Comments