Napenda kumshukuru Mungu Kwa kuweza fikisha siku ya leo, ambayo naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa, hakika yeye ni mwema. Pia napenda kuwashukuru wazazi wangu hasa mama yangu mpendwa, mpenzi wangu, ndugu, jamaa na marafiki kwa ushirikiano wao ambao nimekuwa nikiupata hadi leo hii. Nawapenda sana na kuwajali sana. Mungu atubariki na kutulinda daima,
Usafi mwisho wa Mwezi waendelea Kata ya Mnadani
-
Na. Coletha Charles, DODOMA
Wananchi wa Kata ya Mnadani Halmashauri ya Jiji la Dodoma walifanya usafi
wa mazingira mita tano kuzunguka maeneo yao ya m...
5 hours ago
0 Comments