Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji) Dr. Mary Nagu (Mb) akizungumza na Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya China, ulioambatana na Jumuiya ya wafanyabiashara wakubwa Duniani kutoka nchini China walipofika Ofisini kwake Jijini Dar es Salaa jana. Ujumbe huo umekuja kwa nia ya kujenga mahusiano makubwa baina ya Tanzania na China katika kuboresha na kuinua uchumi wa Tanzania kupitia Idara ya Uwekezaji na Uwezeshaji ya Ofisi ya Waziri Mkuu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS IKULU AFUNGUA MRADI WA UIMARISHAJI NA
UHUISHAJI MAJI MKOROGO ZANZIBAR
-
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Ali Suleiman Ameir akikunjuwa Kitambaa
kushiria Uwekaji wa Jiwe la Msingi katika hafla ya Ufunguzi wa Mradi wa
Uhuishaj...
4 hours ago
0 Comments