Wadau wa soka hasa timu ya Simba iliyolala 3-1 wameitupia lawama safu ya ulinzi ya timu hiyo kuwa sababu ya kufungwa kwao katika mechi iliyopigwa jana kwenye Uwanja wa stade de la Kenya, Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.Mechi hiyo ilikuwa kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya TP Mazembe.Hata hivyo, Simba TP Mazembe watarudia katika mechi itakayopigwa baada ya wiki mbili Jijini Dar es Salaam.
MANARA ATOA MAOMBI MAALUM AJENDA YA KUSAFISHA JIJI LA DAR KUELEKEA MICHUANO
YA AFCON
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
DIWANI wa Kata Kariakoo Haji Manara ametoa ombi malaamu kwa Baraza la
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam pamoja na Mkuruge...
2 hours ago
0 Comments