Mchungaji Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Mwasapile anayetoa tiba ya kutibu magonjwa sugu katika kijiji cha Samunge , Wilayani Loliondo Mkoani Arusha amesitisha Huduma kutokana na kuwashutumu Askali Polisi wanaolinda Usalama wa Raia na kuongoza foleni ya magari kuanza kupokea rushwa kutoka kwa vigogo na watu wenye uwezo mkubwa wa fedha ili wawahi kupata huduma yake.Kwa habari zaidi bofya www.IPPmedia.com
BALOZI WA JAPAN ASIFU UTENDAJI KAZI WA TRA
-
Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Yasushi Misawa leo tarehe 03/01/2025
amekutana na kufanya mazungumzo na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato
Tanza...
2 hours ago
0 Comments