USIKU WA JANA MKOANI KILIMANJARO

Kutoka kushoto Meneja wa Bia ya Tusker Nandi Mwiyombela,katikati ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Serengeti Teddy Hollo Mapunda na Meneja wa Mambo ya Ndani SBL ,Imani Lwinga hapa ikiwa ni katika mlo wa usiku jana.SBL wako Mkoani hapa kwa ajili ya tukio maalumu na la kihistoria kaa chonjo kujua nini kitajiri hapo baadaye.
Promotion ya Bia ya Tusker ikiendelea
Wadau wa Serengeti Moani Kilimanjaro wakipata mlo kwenye ukumbi wa Aventure Club
Wanahabari wa Mkoani Kilimanjaro wakipata mlo pamoja na wapiganaji wa SBL, ikiwa ni mara baada ya Press Briefing na utambuzi.
Ahmad Michuzi ambaye ni mwendeshaji wa Jiachie Blog akipata mlo na wadau wa Serengeti.
Mkurugenzi wa Uhusiano Teddy Hollo Mapunda akijisevia mlo, Aventure Club.

Post a Comment

0 Comments