SAFARINI MKOANI K'NJARO SIYO KWA BABU

Hapa tukipata msosi Korogwe kutoka kushoto ni mzee wa Fullshangwe blogspot,mimi na Felix Mpigapicha wa gazeti la Mwananchi tulikutana nae yeye akienda Loliondo kwa babu.
Chombo hiki ndicho tulichopanda , njiani kuakwa na mvua na sisi tukiwa ndani ya gari hilo manyunyu ya mvua yalipenya yaani kama vile tulisafiri tukiwa chini ya mwembe vile.
Mimi Khadija nikiwa na Felix wa Mwananchi.Hapa nikipiga chabo wakati safari ikiendelea

Post a Comment

0 Comments