Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo asubuhi amezindua jengo la Kliniki ya Macho katika neo la Hospitali ya KCMC, Moshi. Jengo hilo lenye thamani ya mil265.6 ambapo ujenzi huo umegharamiwa na Kampuni ya Bia Serengeti. Pinda alisema kwa niaba yangu mimi,serikali na wananchi wa Moshi na Tanzania kwa ujumla , nasema asanteni sana Serengeti kwa msaada wenu wa kutujengea jengo hili.Niwazi kuwa wananchi hasa wa Mkoa wa Kilimanjaro na mikoa jirani wamepata matumaini mapya kwa kuapta uhakika zaidi wa kupata matibabu ya macho kwani magonjwa ya macho ni kikwazo kwenye maisha ya kila siku kwa wagonjwa. Pia inaonyesha kwamba Kampuni ya Serengeti (SBL),
Waziri Mkuu Mizengo Pinda kushoto akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Serengeti (SBL), waliojenga jenga jengo hilo Richard Walles mara baada ya kuzindua jengo hilo la Kliniki ya Macho lililopo katika eneo la Hospitali ya KCMC,Mkoani Kilimanjaro.
Meza kuu katika uzinduzi huo.
Baadhi ya wgeni waalikwa wakiwa katika uzinduzi huo.
Eeebwanaee Wachaga nao wamoo unajua hapa nikapata taswira kwamba wao ndiyo wavumbuzi wa kupuliza Vuvuzela ngoma yao ilivutia saana siyo mchezo.
Hawa ni wapiganaji na wadau wa SBL, kutoka kushoto Bukuku(Fullshangwe),Michuzi Junior (Jiachie) na
Mkurugenzi wa SBL, Richard Wells na Waziri Mkuu wakipata maelezo mara baada ya kuzindua na kuingia ndani ya jengo hilo la Kliniki ya Macho.
Eneo ya lango kuu la Hospitali ya KCMC
Mambo ya supu ya nguvu kabla ya uzinduzi yakiendelea.
Mwendeshaji wa Bongoweekend nikiwa tayari kwa kazi hapa ilikuwa kabla ya uzinduzi wa Jengo la Kliniki hiyo ya Macho Mkoani Kilimanjaro pia nikiweka sawa masuala kwa upande wa wanahabari wenzangu (Press Coordinator) waliotoka Dar es Salaam na wale wenyeji.
SERIKALI YATOA TAKRIBANI SHILINGI BIL. 41 KUBORESHA MIONDO MBINU SUA
-
NA FARIDA MANGUBE, MOROGORO
Takribani shilingi bilioni 41 zimetolewa na serikali kupitia Mradi wa Elimu
ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET) unaofadhiliwa...
8 hours ago
0 Comments