NILIVUTIWA NA TWASWIRA HII

Njiwa nao waliruka makundi kwa makundi.
Kuku Mtetea nae akiwa vifaranga vyake wakijipatia riziki kiulainii.

Bata nao waliongozana Bibi Mbeleee bwana nyuma.
Ng'ombe hawa wametulia zizini kwao wakiwa wawili yoye hii ni kwa sababu ya amani na utulivu lakini vikitoweka. Tuilininde Amani ya nchi yetu jamani.Tupendane kama hawa wanyama na ndege kwa nini wao watulie maporini na kwenye mabanda yao lakini sisi binadamu tushindwe kuwa watulivu kama wao.

Post a Comment

0 Comments