Mchezaji wa Zanzibar Heroes maarufu kwa jina la Shiboliakichuana na mchezaji wa Ivory Coast katika michuano ya Tusker Challenge Cup inayoendelea Katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Hadi mwisho wa mchezo Zanzibar Heroes walichapwa 1-0 na Ivory Coast.
Kikosi cha timu ya Ivory Coast wakitoka dimbani ikiwa ni katika mapumziko ya kipindi cha kwanza.

0 Comments