Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo, Jackson Mmbando (kulia) akikabidhi zawadi ya hundi ya sh. milioni kumi kwa mshindi wa jumla wa promosheni ya Dunia ya Washindi, Farijala Athumani Iddi mkazi wa Singida, katika makabidhiano yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Meneja Miradi wa Huduma za Ziada (VAS) wa Tigo, Suleiman Bushagama.
Skuli binafsi zina mchango mkubwa kwenye maendeleo ya sekta ya Elimu
Zanzibar
-
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Mhe. Lela Muhamed Mussa,
ameahidi kushirikiana kikamilifu na kufanyia kazi changamoto zinazowakabili
wada...
5 hours ago
0 Comments