Timu ya Somalia wameripotiwa kupata ajali wakiwa njiani kwenda katika Uwanja wa kwa ajili ya mazoezi wakijiandaa kwa ajili ya michuano ya CECAFA Challenge Cup 2010 inayoendelea Jijini Dar es Salaam.Wachezaji wa Timu hiyo ya Taifa ya Somalia walikumbana na baharti mbaya hiyo wakielelea katika Uwanja wa Karume ambao upo katika Ofisi za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).Akithibitisha hilo Kiongozi mmoja wapo wa TFF Msafiri Mgoyi amesema ni kweli ajali imetokea wakati wachezaji hao wakitoka katika Hoteli waliyofikia ya TANSOMA iliyopo mkabala na Barabara ya Nyerere huku mchezaji mmoja amejeruhiwa hakutajwa jina na mwingine akiwa anaonekana kuishiwa nguvu pia hajataja wapelekwa katika hospitali gani.Aidha wachezaji wengine wako salama.
KENYA YATOA HATI ZA VYUO VIKUU KWA KAIST NA KEMRI
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Serikali ya Kenya imetoa hati rasmi za vyuo vikuu kwa Kenya Advanced
Institute of Science and Technology na Kenya Medical Research I...
1 hour ago
0 Comments