Mwanamuziki Aboubakar Bozi Boziana akiwa na mwenyeji wake ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa bendi ya The African Stars ‘ Twanga International’ Asha Baraka na mwanamuziki wake wa kike Blaise Ayembe. Boziana anatarajiwa kurekodi na bendi hiyo pia atafanya onyesho la pamoja Novemba 28 katika viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam. Ratiba kamili ya ujio wake ni Jumatatu.
Wanahabari kama kawaida walikuwepo Uwanja aliyebeba Video Camera ni Jane John wa TBC1 mtembelee katika Blog yake www.Janejohn.blogspot.
Cara Terbaik Untuk Menang Judi Sicbo Online
-
Bergabung dalam permainan judi sicbo online yang dapat dimainkan melalui
smartphone, maka tentu saja para pemain bisa melakukan sejumlah taruhan
dengan nya...
Waziri Ndalichako azindua chuo kipya cha VETA Kagera
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amezindua
chuo kipya cha VETA Ndolage kilichopo Kamachumu Wilaya ya Muleba mkoani
Kagera k...
0 Comments