
Bw.Amos C. Biteya anasikitika kutangaza mazishi ya baba yake mkubwa, kanali Jonathan Ishemo ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho jumanne (26.10.10) kuanzia saa tano asubuhi nyumbani kwake Tegeta salasala ambapo zitatolewa heshima za mwisho na mazishi yatakuwa kwenye makaburi ya kinondoni saa tisa mchana.
Natanguliza shukurani.
2 Comments