Bw.Amos C. Biteya anasikitika kutangaza mazishi ya baba yake mkubwa, kanali Jonathan Ishemo ambayo yanatarajiwa kufanyika kesho jumanne (26.10.10) kuanzia saa tano asubuhi nyumbani kwake Tegeta salasala ambapo zitatolewa heshima za mwisho na mazishi yatakuwa kwenye makaburi ya kinondoni saa tisa mchana.
Natanguliza shukurani.
WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAAGA MIILI YA WALIOFARIKI KARIAKOO.
-
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongoza waombolezaji kuaga miili ya watu
waliofariki baada ya kudondokewa na jengo katika eneo la Kariakoo jijini
Dar es Sa...
50 minutes ago
2 Comments