Baadhi ya wakazi wa Kawe kituo cha Tanganyika Packers wakihakiki majina yao kwenye orodha ya majina ya wapiga kura iliyotolewa na Tume ya uchaguzi hivi karibuni,Baadhi ya wakazi wa Kawe waliojiandikisha kwenye kituo hicho wamelalamika kwa kutokuyaona majina yao kwenye orodha hiyo na kwamba hawajui la kufanya na kwanini tatizo hilo limetokea dakika za mwisho,kwani siku za uchaguzi ndio zinaelekea ukingoni. (Picha na www.jiachie.blogspot).
SITA KIZIMBANI KWA KUTUMIA NIDA ZA WATU KUSAJILIA LINE ZINGINE
-
Na Karama Kenyunko Michuzi Tv OFISA Uchunguzi wa Halotel Fabian Kulwa (40)
na wenzane watano wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
wakikabil...
16 hours ago
0 Comments