Social Icons

Monday, October 4, 2010

SHEAR CHARITY BALL ILIVYOFANA NDANI YA 'HILTON DOUBBLE TREE HOTEL'



Dada Nasra kutoka Oman naye alikuwepo.
Brother Husein. Shekha kushoto tukiwa pamoja jamani raha ya ndugu ni kuwa marafiki zaidi inapendeza.A
Aunt Sadaka (Malaria No More).
Irene (Shear Illusions).
Mshauri wa Rais Januari Makamba.
Mkurugenzi wa Vodacom Foundation Mwamvita Makamba hapa akipata maji ya dafu.

Naibu Meya wa Ilala Jerry Silaa.

Penzi mmoja wa wafanyakazi wa Jarida la Shear akiwa kazini.
Mambo yalikuwa makubwa wakati wa uzinduzi nikajikuta nakumbana na dhahma ya shangwe ya milipuko ya kale.
Taswira ya Jarida la kisasa na lisilo na mpizani bongo ni maurembo kwa kwenda mbele.
Wasanii wa Tanzania House Of Talent wakionyesha umahiri wa kucheza miondoko mbalimbali.

Banana Zahir Zorro akikamua hapa yuko mbalii.
Lady Jaydee kulia na Shamim Zeze.
Mwanamitindo machachari bongo Fideline Iranga a.k.a Lady Gaga.
Stellah (Clouds TV).
Dada Nasra akiwa katika picha ya pamoja na mdogowake Shekha.
Mratibu wa Miss Ilala Kalikumtima akiwa na my wife wake.
Hapa Mkurugenzi na mmiliki wa Magazine ya Shear akihojiwa na 88.4 Clouds Fm.

Shekha akifurahia mafataki yaliyokuwa yakirushwa ukumbini hapo yakiashiria mil;ipuko ya kale na uzinduzi rasmi wa Jarida lake la Shear.

Abdulrahman Naser . Kutoka kushoto Joseph,mimi Hussein na Abdulrahman wote kutoka Shear Family.

Kisa Gofrey naye alikuwepo(Miss Ilala 1998).



No comments:

 
 
Blogger Templates