Mwimbaji wa Muziki kutoka nchini Mali Salif Keita ametua nchini Bongo mahsusi kwa onyesho maalum ,msainii huyu ambaye pia ni maarufu kama,(Golden Voice of Africa) anatarajiwa kukonga nyoyo za mashabiki wa muziki kesho atakapopanda katika jukwaani kutumbuiza Jijini Dar es Salaam..
Pamoja na kutumbuiza kwa nyimbo mbalimbali pia ataimba nyimbo zinazohusu kupinga unyanyasaji na mauaji ya walemavu wa ngozi Albino barani Afrika kwa ujumla.
Msanii Khadija Shaaban ‘Keisha’ ambaye pia ni Albino alikuwepo katika mkutano huo na kusema kwamba binaandanu wote ni sawa,wameubwa kwa rangi na makabila mbalimbali ili wapate kujuana,na kuzaliwa Albino hayo ni majaliwa ya mungu na si changuo la wao Albino kwa hivyo wasibanguliwe na kuuawa.
Katika onyesho hilo litakalotubuizwa na Salif Keita,pia atasindikizwa na mwanamuziki wa hapa nchini mwanadada Keisha.
Salif Keita akiwa katika mkutano na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Movenpick Dar es Salaam leo asubuhi.

0 Comments