licha ya kubanwa na majukumu ya kazi na kupotezana kwa miaka mingi ndani ya Jiji hilihili la Dar es Salaa ghafla nikapata ugeni huu wa waliokuwa viongozi wangu katika kazi kabla hawaja hama kiwanja .Kutoka kushoto ni Mhariri wa Gazeti la Serikali Eric Anthony Mkuti, ambaye katika miaka ya nyuma alikuwa Mhariri wa Michezo Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Kampuni ya Free Media Limited katikati ni mimi na kulia ni Alfred Mapunda a.k.a Brother Maps wote tulikuwa tukifanya kazi pamoja naye hivi sasa ni Mhariri wa michezo gazeti la Mwanahalisi ambaye pia alikuwa Mhariri wa Gazeti la Michezo la Sayari wote hawa alikuwa mabosi wangu hapa walifika ofisini ikawa ni kupeana michapo ya kazi na kimaisha kwa ujumla.
KUWENI BARAKA, SIO KITUNGUU KUWATOA MACHOZI WENGINE - DKT. BITEKO
-
- Amwakilisha Rais Samia hafla ya kutabaruku kanisa SDA- Magomeni
- Ataka watu kutengenezeana furaha badala ya kuumizana
- Ahimiza Mshikamano wa Taifa ili ...
42 minutes ago
0 Comments