
Maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhiwa vifaa vya michezo na Benki NMB .

Mkuu wa Kitengo Cha Huduma za Kiserikali Domina Feruzi akikabidhi moja ya vifaa vilivyotolewa na Benki NMB kwa Mkuu wa Utendaji na Kivita na Mafunzo Jeshini Meja Generali Silvesta Rioba, anayeshuhudia ni Ofisa Huduma Akaunti Binafsi NMB Abdulmaggid Nsekela.Makabidhiano hayo yalifanyika jana Makao Makuu Upanga, Dar es Salaam.
0 Comments