Mbunifu wa mitindo ya mavazi nchini Ally Rhemtullah akiwa katika kambi ya warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010.Rhemtullah ndiye atakayewavisha warembo katika mavazi ya ubunifu amesema wadau na mashabiki wajitayarishe kuona jinsi alivyoweza kuumiza kichwa kwa leno la kuwapendezesha warembo hao siku ya fainali iliyopangwa kufanyika Sepetemba 11 Jijini Dar es Salaam.
0 Comments