Chama Cha Habari za Michezo nchini (TASWA) kitaendesha semina kwa waandishi wa habari za michezo, itakayofanyika kwa siku mbili Septemba 18 na 19 mwaka huu katika ukumbi wa Manispaa ya kinondoni.
Washiriki wa semina hiyo wanatarajiwa kuwa 42, ambao wanawake ni 19 na wanaume ni 23 pamoja na viongozi wa TASWA ambao watashiriki kulingana na majukumu yao katika semina hiyo.Miongoni mwa watoa mada ni mwandishi mkongwe wa michezo kutoka zanzibar, Said Salim, Ayoub Rioba, Frank Sanga na wakufunzi wa michezo sita mbalimbali ukiwemo mpira wa wavu.
Majina ya washiriki waliothibisha hadi sasa ni kama ifuatavyo.
WANAWAKE
Dina Ismail - Tanzania- Daima
Khadija Kalili-Tanzania -Daima
Clara Alphonce-Mwananchi
Amina Athumani-Majira
Mwali Ibrahim-Majira
Somoe Ng'itu
Oliver Albert-Mwanaspoti
Asha Kigundula-JamboLeo
Cecilia Jeremiah-Radio Uhuru
Zainabu Kiluwale-Radio Times
Sophia Ashery-Uhuru
Mbonile Burton-HabariLeo
Editha Mayemba-TV Tumaini
Timzo Kalugira-Bingwa
Imani Makongoro-The Citizen
Jesca Nangawe-Mwananchi
Mwani Nyangasa-The Africa
Saada Akida-Changamoto
WANAUME:
Zahoro Mlanzi-Majira
Mohammed Akida-DarLeo
Athanas Kazige-Uhuru
Elius Kambili-Championi
Wilbert Molandi-Championi
Michael Momburi-Mwanaspoti
Shaffi Dauda-Clouds FM
Sweetbert Lukonge-Mwananchi
Erasto Stansalaus-Majira
Alex Luambano-Clouds FM
Onesmo Kapinga-JamboLeo
Aron Mpanduka-Radio Tumaini
Sostheness Nyoni-Mwananchi
Omary Mngindo-Pwani
Justine limonga-Radio Uhuru
Said Kilumanga-Magic FM
Idd Mambo-ITV
Ally Mkongwe-ITV
James Lange-Star TV
Tulo Chambo-Tanzania Daima
Peter Shadrack-Chanel Ten
Salum Mkandemba-Sayari
Mbozi Katala-TBC Taifa
Afya : MNH Yajidhatiti kuendelea kupunguza vifo vya watoto wachanga
wanaozaliwa kabla ya Muda
-
Wataalam wa afya nchini wamesisitizwa kuendelea kuwa mstari wa mbele katika
kupigania maisha ya watoto wachanga wanaozaliwa kabla ya muda ili kupunguza
v...
48 minutes ago
0 Comments