Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya na Mgombea Ubunge kwa tiketi ya chama cha CHADEMA jimbo la Mbeya mjini,Joseph Mbilinyi a.k.a Mr II a.k.a Sugu akiimba moja ya wimbo wake uitwao wananiita Sugu ambao ulionekana kuwachangamsha vijana wengi waliofika viwanjani wakati wa uzinduzi wa kampeni ya chama hicho pamoja na Ilani yake mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Salaam.
TBS YATOA ELIMU KWA WAJASIRIAMALI KWENYE MAONESHO YA 11 YA BIASHARA ZANZIBAR
-
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Shirika la Viwango
Zanzibar (ZBS) wameendelea kutoa elimu kwa wajasiriamali juu ya umuhimu wa
kuwa ...
1 hour ago
0 Comments