Ben Kinyaiya alikuwepo ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, hapa ni mara baada ya kupeana salamu na kumuuliza kwa nini hivi sasa ameweka kazi ya muziki kando baada ya kurekodi wimbo wake mmoja uliokuwa katika miondoko ya Takeu kwa jina la Tupendane.Mbali ya kuwa mtangazaji mahiri pia , mtunzi na muimbaji pia Ben ni mwigizaji mzuri katika michezo ya filamu.

Post a Comment

0 Comments