Social Icons

Tuesday, March 7, 2017

RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA WA KISASA WA NDEGEVITA KAMBI YA NGERENGETE MOROGORO

 Rais na  Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akijiandaa  kufyatua risasi  ya bastola kuashiria  matumizi rasmi  ya Uwanja wa Kisasa Uwanja  ndegevita  wa Ngerengere Mkoani Morogoro leo Machi 6,, 2017.
                          (PICHA ZOTE NA IKULU)
 Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt.John Pombe Magufuli na Balozi wa China  nchini  wakifunua  kitambaa kuashiria  uzinduzi rasmi  wa uwanja wa kisasa  wa ndegevita  wa Ngerengere Mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017.
 Rais na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe  Magufuli akihutubia  wakati wa uzinduzi  rasmi wa Uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere Mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017.
Rais  na Amiri  Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe  Magufuli  na Balozi wa  China nchini  katika picha ya pamoja  na viongozi mbalimbali baada ya uzinduzi  rasmi wa  Uwanja kisasa wa ndegevita  wa Ngerengere Mkoani Morogoro leo Machi 6, 2017.
               

No comments:

 
 
Blogger Templates