Daktari wa mifugo Ally Hamisi Machine, akiwa anafanya ukaguzi wa mbuzi waliochinjwa katika mnada wa Loliondo uliopo Wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani leo tarehe 18 Januari 2025 kabla ya nyama hiyo kumfikia mlaji.
Ukaguzi huo umelenga kukagua magonjwa mbalimbali na kumlinda mlaji wa nyama hiyo, anayeshuhudia ni Sajenti Okaka Clausy wa Kikosi cha STPU Mkoa wa Pwani mnada huo hufanyika kwenye eneo hilo kila siku ya Jumamosi.
0 Comments