Social Icons

Sunday, September 25, 2011

MDAU CARTHBET KAJUNA NA ESTER ULAYA WAMEREMETAA!

MDAU MWANDAMIZI WA BLOG HII CUTHBET KAJUNA KULIA AKIWA NA TABASAMU PANA NA LENYE MATUMAINI YA KUISHI MAISHA YA UPENDO NA MKE WAKE ESTER ULAYA , HAPA NI MARA BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA JANA, NA KUFUATIWA NA MNUSO WA KUKATA NA MUNDU ULIOFANYIKA KATIKA UKUMBI WA MBEZI GARDEN , MBEZI BEACH DAR ES SALAAM.


 Sisi ni mwili mmoja kuanzia sasa. 
 Bibi harusi akipongezwa.
Mpambe wa Bwana Harusi Jackson Mbando ambaye pia ni Ofisa Habari wa Kampuni ya simu Airtel  akimpongeza Bibi harusi Ester Ulaya mara baada ya kufunga ndoa na kuwa mke halali wa Cuthbet. 
 Bibi Harusi Ester Ulaya  akimwaga tabasamu pama baada ya kuwa mke wa halali wa Cuthbet.
Mmtuonaa  eeenhh. 
Raha Iliyoje hapa Kajuna Son akiwa na mke wake pamoja na wapambe katika picha ya pamoja. 
Wapambezzz katika picha ya pamoja wakiongozwa na Mdau Jimmy wa kwanza bila kumsahau Dataz wote kutoka Clouds Media Group Mlipendezaaaa na mmependezaa.

Blog hii  ni miongoni mwa watu waliokuwa katika mstari wa mbele kumwezesha Kajuna son ambaye pia ni mwanalibeneke  anayeendesha  anatimiza ndoto zake pia Bro ,nakuombea  maisha mema na tabasamu hilo lidumu milele hadi pale kifo kitakapowatenganisha AMEN.

No comments:

 
 
Blogger Templates