Bendi Maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya "Ngoma Africa Band" aka FFU,
wanatalajiwa kutumbuiza katika onyesho lingine kubwa la wazi mjini Aschweiler,nchini
Ujerumani siku ya jumamosi 20.08.2011 saa 12.00 jioni.Maporomota wa muziki huko ughaibuni wamehamua kuifanyia kweli bendi hiyo maarufu kwa kuipangia ratiba ya maonyesho bila kupumua !
Ras Makunja na kikosi kazi chake Ngoma Africa band aka FFU wamejikuta wapo katika
kibarua sugu cha kuwapa burudani kamili wapenzi wa muziki katika kila kona huko ughaibuni.
FFU kw sasa wanatamba na nyimbo mbili mpya "Bongo Tambarare " na "Supu ya Mawe"
wasikilize at www.ngoma-africa.com
MAKAMU WA RAIS DKT NCHIMBI AMJULIA HALI MZEE YUSUPH MAKAMBA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt.
Emmanuel Nchimbi, amemtembelea na kumjulia hali, Katibu Mkuu Mstaafu wa
Chama Cha Ma...
8 hours ago
0 Comments