NEW YORK, MAREKANI
FILAMU mpya ya mwigizaji wa filamu za kibabe, Vin Diesel inayokwenda kwa jina la Fast and Furious sehemu ya 6 imepangwa kuachiwa mwaka 2003.
Filamu hiyo inayozungumzia kuhusu uhalifu wa genge moja la kutengeneza fedha imetengenezwa chini ya mtayarishaji maarufu Justin Lin inatarajiwa kuwa tishio zaidi ya zile zile zilizopita.Katika sehemu ya tano ya filamu iliyopita ilionyesha mafanikio kwa kuuza jumla ya nakala dola milioni 600 duniani kote.
POLISI PWANI YAJIVUNIA MAFANIKIO YA OPERESHENI NA MISAKO
-
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia
Septemba hadi Novemba 2025 ambapo wamefanya misako ya kuzuia na
kutanzua ...
7 hours ago

0 Comments