Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maputo tarehe 24 Juni, 2025 Maputo, Jamhuri ya Msumbiji ambapo anatarajia kuwa Mgeni Rasmi katika Sherehe za Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, kufuatia mwaliko maalum wa Rais wa nchi hiyo, Mhe. Daniel Francisco Chapo. Sherehe hizo zitafanyika kesho katika Uwanja wa Machava, Mjini Maputo.
Ilala Yajipanga Kuwa Kinara wa Miji ya Kijani
-
*Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam.*
*MKUU wa Wilaya ya Ilala, Mheshimiwa Edward Mpogolo, amewataka wakazi wa
wilaya hiyo kuonyesha uzalendo wa kweli kwa ...
3 hours ago




0 Comments