DIBIBI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI UWT VITI MAALUM KISARAWE

📍Kulthum Dibibi aliyewahi kuwa Mjumbe wa Kamati ya Uratibu UVCCM Tawi la MUM Seneti ya Vyuo na 

Vyuo Vikuu Mkoa wa Morogoro 2023–2025, amechukua fomu ya kugombea Udiwani wa Viti Maalum kupitia UWT Wilaya ya Kisarawe  Mkoa wa Pwani.


 

Post a Comment

0 Comments