Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro Bw. Abdul-Razaq Badru amepokelewa Rasmi kwa kukagua gwaride la heshma katika ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro eneo la Njia Panda Karatu baada ya Kivishwa Cheo na kuapishwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) kuwa kamishna wa Uhifadhi hivi Karibuni.
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) Bw. Abdul-Razaq Badru akizungumza na Menejimenti na Watumishi wa Mamlaka hiyo baada ya kupokelewa na kukagua gwaride la heshma katika ofisi za Mamlaka hiyo Karatu Arusha ikiwa ni siku chache tangu Kivishwa Cheo na kuapishwa kuwa kamishna wa Uhifadhi hivi Karibuni.
MWENGE WAHAMASISHA NISHATI SAFI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA, ,WAGAWA MITUNGI
40 RUFIJI
-
Mwamvua Mwinyi, Rufiji Aprili 26, 2026
Mwenge wa Uhuru wahimiza na kuhamasisha wananchi kuunga mkono matumizi ya
nishati safi ikiwemo gesi ya kupikia, ma...
2 hours ago




.jpg)
0 Comments