DKT. MPANGO ASHIRIKI MKUTANO WA NNE WA KIKATAIFA WA .FfD4


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres na Rais wa Hispania Mhe. Pedro Sánchez wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla kushiriki Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika nchini Hispania leo tarehe 30 Juni 2025.

 

Post a Comment

0 Comments