Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu Usalama wa Chakula, Mapambano dhidi ya njaa na maendeleo vijijini unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Brazil (Itamaraty Palace) Jijini Brasilia leo tarehe 22 Mei 2025.
Rais Dk Hussein Mwinyi mgeni rasmi Ufunguzi wa Uwanja wa Gombani
-
Wilaya ya ChakeChake Pemba 13.01.2026.
Ujenzi na Ukarabati wa Viwanja mbalimbali vya Michezo ni miongoni mwa
juhudi zinazochukuliwa na Serikali katik...
9 hours ago




0 Comments