RAIS DKT.SAMIA SULUHU HASSAN AFUTURISHA WATOTO YATIMA NA WENYEMAHITAJI IKULU DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afuturisha Watoto Yatima na Watoto wenye mahitaji Maalum, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 3 Machi, 2025.
Watoto yatima pamoja na watoto wenye mahitaji maalum wakiwa kwenye Iftar iliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Jijini Dar es Salaam 03 Machi, 2025.

Post a Comment

0 Comments