MJUMBE KAMATI YA UTEKELEZAJI LUKUBA ANAWATAKIA WAISLAMU WOTE KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN


 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni  Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Mkoa wa Morogoro Bi Sheila Edward  Lukuba anawatakia Waislamu wote kheri ya mwezi mtukukufu wa Ramadhani

Post a Comment

0 Comments