Watumishi watatu wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) wakiongozwa na Afisa Uhifadhi Mkuu (Maendeleo ya Jamii) Paul Mwabusila wameshiriki kutoa elimu kupitia redio ya Kijamii ya Lumen FM Karatu kuhusiana na njia mbalimbali za kukabiliana na Changamoto ya migongano kati ya Wanyamapori na wananchi (Human Wildlife Conflicts).
CRDB YATANGAZA ONGEZEKO LA FAIDA, GAWIO KWA MWANAHISA
-
Na Seif Mangwangi, Michuzi TV Arusha
BENKI ya CRDB imetangaza neema kwa wanahisa kwa ongezeko la asilimia 38
kutoka sh.65 ya mwaka jana hadi kufikia sh.90 ...
7 minutes ago



0 Comments