Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi akipata maelezo kuhusu shughuli za Uhifadhi, vivutio vya utalii mubashara kutoka eneo la hifadhi ya Ngorongoro na fursa za uwekezaji zilizopo hifadhi ya Ngorongoro kutoka kwa Meneja wa Huduma za Utalii na Masoko NCAA Mariam Kobelo (kushoto) wakati wa Ufunguzi wa Onesho la Kimataifa la Swahili International Tourism EXPO (SITE) linalofanyika katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam
Mamlaka ya Hifadhi ya Hifadhi ya Ngorongoro ni moja kati ya Taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii zinazoshiriki onesho hilo lililoanza tarehe 11- 13 Oktoba, 2024.
Rais Samia awasili Jijini Dar es Salaam kwa 'SGR' kutokea Mkoani Dodoma
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akiwasili katika Stesheni ya Dar es Salaam wakati akitokea Mkoani Dodoma
kwa usaf...
41 minutes ago
0 Comments