Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Mkoani Mwanza kwa ajili ya kuhitimisha kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na Wiki ya Vijana
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza tarehe 12,Oktoba Shamrashamra za mapokezi ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Jijini Mwanza leo terehe 12,Oktoba 2024.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan akiangalia kikundi cha ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza ,tarehe 12 ,Oktoba 2024.
RAIS SAMIA KUKABIDHI ZAWADI KWA WALIPAKODI BORA 1228 JANUARI, 23.2025
-
Jumla ya Walipakodi 1228 kutoka kona zote za Tanzania, wanatarajia
kukabidhiwa zawadi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk.
Samia Suluhu H...
39 minutes ago
0 Comments