WAZIRI CHANA AKAGUA MIRADI YA KIMKAKATI HIFADHI YA TAIFA NYERERE

Muonekano wa lango la kitalii la kisasa lililojengwa katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (Katikati) akipewa maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa geti “Gate Complex” na Naibu Kamishna wa Uhifadhi, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), Massana Mwishawa (kulia kwake) wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma Septemba 29,2024. Wengine pichani ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi was Uhifadhi TANAPA Mkuu wa Kanda ya Mashariki, John Nyamhanga(kushoto), Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi TANAPA ofisi y Kanda ya Mashariki, Fred Malisa (wa pili kutoka kulia), Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Hifadhi ya taifa Nyerere, Ephraim Anosisye Mwangomo(wa tatu kutoka kulia), baadhi ya Makamishna Wasaidizi wa Uhifadhi kutoka TANAPA na Maafisa na Askari Uhifadhi.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (katikati) akiwa ameongozana na Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi TANAPA, Mkuu wa Kanda ya Mashariki, John Nyamhanga (kushoto), Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Hifadhi ya taifa Nyerere, Ephraim Anosisye Mwangomo(kulia) na baadhi ya Makamishna Wasaidizi wa Uhifadhi kutoka TANAPA na Maafisa na Askari Uhifadhi kukagua mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya kimkakati katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma 
Muonekano wa mojawapo ya nyumba ya watumishi iliyojengwa kwa ajili ya Askari Uhifadhi katika Hifadhi ya Taifa ya Nyerere Wilaya ya Namtumbo, Mkoani Ruvuma.

Post a Comment

0 Comments